Je unajua kuwa kwa dau dogo pekee unaweza ukabadilisha maisha yako leo?. Mechi za kufuzu UEFA zipo kuhakikisha hubaki patupu. Suka jamvi lako la ushindi na uibuke bingwa leo.
Mapema kabisa leo kuna mechi ya Kairat Almaty dhidi ya Omonia Nicosia ikiwa ni moja ya mechi kali na nzuri kabisa za kubashiri siku ya leo ambapo wenyeji wanahitajii wanaingia kwenye mchezo huu kwenda kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana kwa bao 1-0 kule nchini Cyprus.
Omonia Nicosia ni timu yenye uzoefu mkubwa katika mashindano ya Ulaya na hucheza kwa nidhamu ya hali ya juu, hasa katika safu ya ulinzi?. Kwa kuwa tayari wana faida ya bao moja, huenda wakacheza kwa tahadhari wakisubiri nafasi za kushambulia kwa kushtukiza. Jisajili na usuke jamvi hapa.
Huku Kairat wao watalazimika kushambulia tangu mwanzo ili kusawazisha matokeo ya jumla, jambo ambalo linaweza kuacha nafasi nyuma kwa Omonia kutumia mashambulizi ya haraka.
Ukiachana na mechi hiyo, Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kila timu inaitazama kwa jicho lingine kabisa kwani mpaka sasa bao moja sio kubwa hivyo meza inaweza ikapinduliwa na matokeo yakawa mengine kabisa. Odds kubwa zipo Meridianbet kwenye mechi hii. Ingia na ubeti hapa.
Kwa upande wa Kairat anaweza kushinda nyumbani au kulazimisha sare, lakini Omonia ana nafasi nzuri ya kusonga mbele kutokana na faida ya mchezo wa kwanza. Je wewe unaona nani anaondoka na ushindi wa moja kwa moja?
Fenerbahçe Instanbul atakuwa uso kwa uso kukipiga dhidi ya Gornik Zabrze ambao hawapewi nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kwenye mchezo huu wa leo.
Timu hiyo kutoka Uturuki wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na nafasi kubwa ya kushinda kutokana na ubora wa kikosi chao, uzoefu wa michuano ya kimataifa na matokeo mazuri ya maandalizi ya msimu. Timu hiyo imeonyesha makali ya kushambulia na imekuwa ikifunga mabao mengi katika mechi za hivi karibuni.
Górnik Zabrze, licha ya kuwa na faida ya kucheza nyumbani, watakuwa na kibarua kizito dhidi ya timu yenye wachezaji wa kiwango cha juu. Ili kupata matokeo mazuri, watalazimika kuwa imara kwenye safu ya ulinzi na kutumia vizuri nafasi chache watakazopata kupitia mashambulizi ya kushtukiza.
Hii ni mechi ya mtoani hivyo lolote linaweza kutokea timu ambayo imejipanga vilivyo inaweza ikaondoka na ushindi tena mnono kabisa. Meridianbet inakwambia kuwa tengeneza pesa yako kupitia mechi hii. Beti sasa.