UEFA Yatingisha Kengele FIFA Baada ya Mpango wa Infantino Kuhusu Kombe la Dunia
Mvutano mkubwa umeanza kushika kasi katika ulimwengu wa soka baada ya kuibuka kwa taarifa kwamba Rais wa FIFA, Gianni Infantino, anafikiria kuleta mfumo mpya wa kibiashara utakaowaruhusu wawekezaji binafsi kumiliki sehemu ya thamani ya Kombe la Dunia. Kwa mujibu wa taarifa hizo, FIFA inapanga kuanzisha kampuni maalum ambayo itakuwa na nafasi ya kupokea uwekezaji kutoka…