Michuano mikubwa Duniani inazidi kupamba moto huku kila timu ikihitaji ushindi kuelekea mechi za mwisho za makundi. Nafasi ya wewe kuondoka na pesa ipo hapa hivyo tengeneza jamvi lako la ushindi leo.
Nafasi ya kuondoka na mshiko ipo hapa kwa Ecuador dhidi ya Ujerumani, mechi ambayo muhimu sana kwa Ecuador ambao mpaka sasa kwenye mechi zake mbili ameshindwa kupata ushindi wowote ameambulia sare pekee. Kwenye Kundi hili E mpaka sasa timu ya Taifa ya Ujerumani wao tayari wameshafuzu kwenye hatua inayofuata baada ya kushinda mechi zao mbili.
Ecuador inaenda kukutana na bingwa mara 4 wa michuano hii, lakini pia moja ya timu ambayo ina wachezaji wenye ubora mzuri na ambao wanaweza wakabilisha matokeo muda wowote wa mchezo. Chini ya Julian Nagelsman Ujerumani imekuwa timu katili sana hasa eneo la ushambuliaji wakiwa na wachezaji kama Kai Havertz, Jamal Musiala, Kimmich na wengine wengi.
Vijana hao wa Sebastian Beccacece mpaka sasa wapo hatiani ya kuondoshwa kwenye michuano hii au kucheza play offs baada ya kuwa na mwanzo mgumu kwenye michuano hii wakiwa mpaka sasa hawajafunga hata goli moja na kupoteza mechi ya kwanza walipokutana na Ivory Coast.
Tengeneza pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Lakini pia kwenye Kundi hilo kutakuwa na mechi ya Curacao dhidi ya Ivory Coast kutoka Afrika ambao kwenye mechi mbili walizocheza wamepata ushindi mechi moja na nyingine wakapoteza.
Curacao wamekuwa na mwanzo mgumu baada ya kupokea kichapo kikubwa kutoka Ujerumani na baadaye kutoka sare dhidi ya Ecuador, jambo linaloifanya ihitaji ushindi ili kuendelea kuwa na matumaini ya kufuzu. Kwa upande mwingine, Ivory Coast ilianza vizuri kwa kuifunga Ecuador kabla ya kupoteza dhidi ya Ujerumani, hivyo ikihitaji matokeo mazuri ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya mtoano.
Ivory Coast wao wanaingia kwenye mchezo huu ikiwa na faida ya ubora wa kikosi na uzoefu mkubwa wa mashindano makubwa. Wachezaji wake wa wa eneo la ushambuliaji wameonyesha uwezo wa kuleta tofauti, huku safu ya kiungo ikiwa na nguvu ya kudhibiti mchezo na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Hata hivyo, walionyesha mapungufu katika safu ya ulinzi walipokutana na Ujerumani, jambo ambalo linaweza kuwapa Curacao nafasi ya kushtukiza.
Nafasi ya kuondoka na ushindi kwenye mechi hii amepewa Tembo ( The Elephants) kutokana na ubora ambao wameonesha kwenye mechi zao mbili licha ya moja kuangukia pua. Lakini bado ndio wanaopendelewa kushinda hata kule kwa wakali wa ubashiri Meridianbet. Beti hapa.