MEI 6, 2026 NBC Premier League inaendelea ambapo kutakuwa na mechi tatu kali viwanja tofauti namna hii:-
KMC FC vs Yanga SC, saa 10:00, Uwanja wa KMC Complex
Simba SC vs JKT Tanzania, saa 12:15, Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo
Mtibwa Sugar vs Dodoma Jiji FC, Uwanja wa Azam Complex, saa 2:15 usiku
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.