Dakika ya 50 George Mpole wa Prisons anaonyeshwa kadi ya njano.
Dakika ya 45
Dakika ya 45 Jermia Juma wa Prisons alionyeshwa kadi ya njano.
Dakika ya 40
Dakika ya 16
Umiliki: Tanzania Prisons 37% -63% Yanga SC
Uwanja wa Jamhuri
Tanzania Prisons vs Yanga SC ni leo Machi 12,2026 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Mchezo unatarajiwa kuanza saa 2:00 usiku
Taarifa kuhusu vikosi:-
Kikosi cha Tanzania Prisons vs Yanga SC
Langoni ni Mussa Mbissa
Lambart Sabiyanka
Doto Shaban
Jeremia Juma
Marco Mhilu
Michael Mutinda
Wema Sadoki
Salum Kimenya
Maurince Owino
George Mpole
Haruni Chanongo
Wachezaji wa akiba ni Emmanuel Martin, Never Kaboma,Kelvin Sagati, Heritier, Masoud Abdalah, Ramadhan Mwenda, Edward Mwakyusa, Samson Mbangula, Oscar Mwajanga na Idd Lugendo.
Kikosi cha Yanga SC vs Tanzania Prisons
Langoni
Djigui Diarra
Mabeki: Israel Mwenda, Zimbwe Jr, Nondo, Bacca. Viungo ni Damaro, Abuya, Maxi, Mudathir na Okello.
Mshambuliaji ni Prince Dube. Akiba: Masalanga, Abubakari, Assink, Andabwile, Yao, Abdulnasir, Shekhan, Edmund, Bupa, Depu .
Timu zote mbili zimewasili Dodoma kwa maandalizi ya mwisho na zimefika uwanjani tayari
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.