Singida Black Stars vs Simba SC, mnyama ajaza viungo

Kikosi cha Simba SC kwenye mchezo wa leo Machi 11 vs Singida Black Stars, viungo wametawala asilimia kubwa kikosi cha kwanza.

Uwanja wa Airtel utashuhudia mchezo huu wa NBC Premier League na kikosi cha mnyama kipo namna hii:-

Langoni

Mahamadou Kassali

 Mabeki

 Shomari Kapombe

Nickson Kibabage

Ismael Toure

 De Reuck

Viungo

Yusuph Kagoma

Libasse Gueye

Allasane Kante

Anicet Oura

 Inno Loemba

  Clatous Chama

Wachezaji wa akiba, Hussen Abel, Duchu, Mligo, Mbegu, Naby, Bashiru, Semfuko, Baraka, Morice na Ellie Mpanzu.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.