Iran Yatangaza Huenda Isishiriki Kombe la Dunia 2026
Waziri wa Michezo na Vijana wa Iran, Ahmad Donyamali, amesema timu ya taifa ya wanaume ya nchi hiyo huenda isishiriki katika michuano ya FIFA World Cup 2026 kutokana na hali ya usalama na mvutano wa kisiasa unaoendelea. Akizungumza katika mahojiano na kituo cha televisheni cha michezo cha Islamic Republic of Iran Broadcasting (IRIB) siku ya…