Barcelona imefutika kwenye michuano ya Copa del Rey baada ya kipigo cha jumla cha 4-3 dhidi ya Atletico Madrid. Mabao 4-0 waliopokea kwenye mchezo wa kwanza yalichukua nafasi kubwa, licha ya ushindi wao wa 3-0 kwenye marudiano.
Matokeo ya Marudiano:
-
Barcelona 3–0 Atletico Madrid
-
29’ ⚽ Bernal
-
45+5’ ⚽ Raphinha
-
72’ ⚽ Bernal
-
Jumla ya Mabao (Aggregate): 4–3 kwa faida ya Atletico Madrid.
Hatua inayofuata:
-
Atletico Madrid imetinga fainali na kusubiri mshindi kati ya Real Sociedad na Athletic Bilbao, watakaozichuana Machi 4, 2026, kwenye nusu fainali.