LEO Januari 26, Uwanja wa Kaiataba unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba ambapo washambuliaji wote leo wamewekwa benchi na Kocha Mkuu, Pablo Franco.
John Bocco na Meddie Kagere pamoja na Yusuf Mhilu hawa wote wameanza kusoma mchezo nje na ndani ni viungo na mabeki wameanza.
Hiki hapa kikosi cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza namna hii:-