Kwa mashabiki wa michezo ya namba hasa Lucky 6 na Keno, huu ndio wakati wa kuibadilisha Ijumaa yako kuwa tukio la ushindi. Meridianbet wameamua kukupa sababu ya kucheka hata pale bahati inapochelewa kukuangukia. Kupitia promosheni ya Lucky Friday, kila dau lako la Ijumaa linakupa tiketi ya kupata 10% ya kiasi ulichopoteza kama cashback kila Jumamosi. Hii ina maana kwamba kila tiketi isiyo na bahati, ina nafasi ya kukuletea zawadi baadaye.
Unachotakiwa kufanya ni rahisi mno, Ijumaa ikifika, ingia Meridianbet kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au app ya simu, kisha cheza michezo ya Lucky 6 au Keno kwa tiketi ya kuanzia TZS 500. Baada ya hapo, kaa mkao wa kula. Kufikia Jumamosi, kabla ya saa 5:00 asubuhi, utapokea 10% ya jumla ya hasara zako kama pesa taslimu moja kwa moja kwenye akaunti yako.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Katika ulimwengu wa promosheni, si kawaida kupata zawadi kutokana na kupoteza. Lakini Lucky Friday inavunja miiko hiyo. Unaweza kuondoka na hadi TZS 25,000 kama bonasi ya wiki. Hili si jambo la kupuuza, ni zawadi inayokupa moyo wa kuendelea kucheza kwa matumaini mapya, wiki baada ya wiki.
Meridianbet wameweka wazi masharti ya promosheni hii kwa ufasaha. Miongoni mwayo, ni kuwa tiketi zilizolipiwa kwa kutumia bonasi hazitakubalika. Vilevile, wanahifadhi haki ya kusitisha au kubadilisha promosheni endapo kutatokea udanganyifu, matumizi mabaya ya sheria, au matatizo ya kiufundi. Lengo ni kuhakikisha kuwa kila mshiriki anapata haki sawa, na mchezo unafanyika kwa uwazi na uadilifu.
Kando na cashback, Lucky Friday inabadilisha mtazamo wa kawaida kuhusu michezo ya kubahatisha. Ni zaidi ya ushindi wa papo kwa papo, hii ni fursa ya kujifurahisha bila hofu ya kupoteza kila kitu. Ni nafasi ya kujifurahisha huku ukijua kuwa hata bahati ikikusaliti, Meridianbet hawatakusahau bali watakua na wewe hata kwenye kipindi kigumu.
Kwa hiyo, ikiwa Ijumaa zako zimekuwa za kawaida sana, ni wakati wa kujiandikia historia mpya na kuzibadilisha ziwe za kipekee. Jiunge na Meridianbet leo, hakikisha Ijumaa yako inakua siku ya michezo ya namba tu, na subiri Jumamosi yako yenye bashasha. Bahati haiji kwa kubahatisha tu, sasa inakuja na cashback ya uhakika kupitia Lucky Friday.