KITABU CHA MOYO WANGU UNAVUJA DAMU RASMI KIPO MTAANI
LEO Julai 24, 2025, kitabu kipya kiitwacho Moyo Wangu Unavuja Damu kimetambulishwa rasmi sokoni katika Makao Makuu ya Global Group, Sinza – Mori, ikiwa ni kazi ya pili ya fasihi kutoka kwa mtunzi mahiri Lunyamadzo Mlyuka, aliyejipatia umaarufu kupitia kitabu chake cha awali Ganzi ya Maumivu. Kitabu hiki ni simulizi ya kusisimua inayochambua kwa kina…