FUNGUA MWAKA KWA FAIDA KWA KUBASHIRI NA MERIDIANBET

Mwaka 2022 unaanza kwa michezo ya kukata na shoka kunako mchezo wa soka. EPL katika ubora wake wikiendi hii. Anza mwaka mpya kwa kutandaza jamvi lako na Meridianbet, mkeka wako wa faida ni huu;

Emirate Stadium itafungua burudani ya mwaka mpya kwa mchezo wa Arsenal vs Man City. Mchezo wa mwisho timu hizi kukutana kwenye EPL, The Gunners walipigwa 5-0 pale Etihad Stadium. Safari hii wapo nyumbani wakiwa wanamkosa Mikel Arteta kwenye bechi la ufundi kutokana na kupata maambukizi ya COVID-19. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.52 kwa City.

Patrick Viera ataiongoza Crystal Palace kwenye mchezo dhidi ya West Ham United. Timu zote mbili zimekuwa kwenye kiwango thabiti msimu huu zikiwa na matokeo chanya kwenye michezo yao mpaka sasa. Mdhamini shujaa wako kwa kuchagua Odds ya 2.30 ndani ya Meridianbet.

 

Stamford Bridge kuunguruma pale ambapo Chelsea watachuana na Liverpool, mbio za ubingwa zinashika kasi kuanzia mwezi Januari. Ni Thomas Tuchel au Jurgen Klopp atakayesahihisha makosa yake? Timu zote mbili zilipoteza pointi kwenye michezo yao ya mwisho kabla ya kukutana Jumapili hii. Ni Mo Salah vs Romelu Lukaku kwenye safu ya mashambulizi. Ifuate Odds ya 2.35 kwa Liverpool kupitia Meridianbet.

 

Kwenye LaLiga, Real Betis wataalika Celta Vigo katika mtanange wa kukata na shoka. Naam! Betis ni miongoni mwa timu zinazofanya vizuri kwenye LaLiga msimu huu. Wataendelea kutoa upinzani wanaoutoa sasa hivi kuelekea mwishoni mwa msimu au, Celta Vigo wataanza kutia doa safari ya Betis? Odds ya 1.76 imewekwa kwa Betis.

 

Jumatatu ya kwanza ya mwaka 2022 itapendezeshwa kwa mchezo wa Manchester United vs Wolverhampton Wanders. United watakua Old Trafford kuendea walipoishia mwaka 2021. Burnley aliambulia kipigo, Wolves nae atatokaje Theatre of Dreams? Safari ya kuelekea kwenye nafasi ya kucheza mashindano ya Ulaya msimu ujao kwa United ndio inaanza, watafanikiwa? Ifuate Odds ya 1.57 kwa United kupitia Meridianbet.

Meridianbet – Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!