Timu ya taifa ya Ubelgiji imeweka hai matumaini ya kufuzu hatua ya 16 bora baada ya kuitandika Romania 2-0 katika mchezo wa raundi ya pili wa Kundi E uliopigwa katika dimba la RheinEnergieStadion (Cologne).
FT: Ubelgiji π§πͺ 2-0 π·π΄ Romania
β½ Tielemans 2β
β½ De Bruyne 80β
Kundi E bado ni ngoma ni ngumu, kila timu ina pointi tatu baada ya mechi mbili za hatua ya makundi. Mechi za mwisho zitaamua timu itakayokata tiketi ya hatua ya 16 bora.
MECHI ZA MWISHO
Slovakia πΈπ° vs π·π΄ Romania
Ukraine πΊπ¦ vs π§πͺ Ubelgiji