MOTO WA YANGA KIMATAIFA HAUZIMI/MAMELODI WALIKUTANA NA BALAA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa moto wao kwenye anga la kimataifa hautazima kwa kuwa wapo imara kwenye kupambania nembo ya Yanga na Tanzania kiujumla. Ikumbukwe kwamba katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga imegotea hatua ya robo fainali ilipopoteza kwa penalti 3-2 dhidi ya Mamelodi Sundowns.