BAADA ya kupangwa kisha kufutwa tena kutokana na makosa ya teknolojia leo Desemba 13 hii ndio droo ya mwisho (ya marudio) mechi za 16 Bora Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.
Bayern v RB Salzburg
Manchester City v Sporting
Ajax v Benfica
Lille v Chelsea
Manchester United v Atlético Madrid
Juventus v Villarreal
Liverpool v Inter de Milão
Real Madrid v PSG
Mambo yatakuwa hivyo huko Ligi ya Mabingwa Ulaya kazi kazi.