SportsANAKUJA YANGA MSHAMBULIAJI HUYU KUFANYA KAZI Saleh2 years ago01 mins TAARIFA kutoka ASEC Mimosas zimeeleza kuwa Yanga imefikia hatua nzuri ya mazungumzo kuhusu mchezaji Sankara Karamoko. Yeye ni mshambuliaji ambapo kama mambo yatakwenda sawa anaweza kuibukia ndani ya kikosi cha Yanga kuanza changamoto mpya. Post navigation Previous: WAKATI WA KUWAJIBIKA NI SASA KWA KILA MMOJANext: SIMBA NA YANGA KIMATAIFA NI BALAA ZITO
Taarifa, Odds Kubwa na Fursa za Ushindi Zinakungoja Kwenye Meridianbet Sport Portal Saleh10 hours ago2 hours ago 0