PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba anatarajiwa kukiongoza kikosi chake leo kwenye mchezo wa dabi dhidi ya Yanga.
Hiki hapa kikosi chake rasmi ambacho kitaanza Uwanja wa Mkapa:-
Aish Manula
Shomar Kapombe
Hussein
Onyango Joash
Mkude Jonas
Kibu Dennis
Kanoute
Kagere
Morrison
Hassan Dilunga
Akiba
Kakolanya
Israel
Kennedy
Nyoni Erasto
Mzamiru
Banda
Bocco
Bwalya
Mhilu