Skip to content
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba ameanza na jeshi hili dhidi ya watani zao wa jadi Yanga.
Novemba 5 2023 itakuwa ni rekodi kwa wababe hawa wawili kusaka pointi tatu baada ya dakika 90 kukamilika.
Hiki hapa kikosi cha Simba kipo namna hii:-
Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Henock Inonga, Che Malone, Fabrice Ngoma, Kibu Dennis,Sadio Kanoute,Jean Baleke,Saido Ntibanzokiza, Clatous Chama