NI SUPER WEEKEND KUNAKO SOKA BARANI ULAYA… BUNDESLIGA, SERIE A NA EPL KIMEUMANA

Baadhi ya mitanange ya kibabe kuchezwa kwenye ulimwengu wa kandanda wikiendi hii. Ni Super Weekend ya kibabe sana viwanjani. Mchongo upo Meridianbet, mambo yapo hivi;

 

Kwenye Bundesliga wikiendi hii, Borussia Dortmund kuchuana na Bayern Munich pale Signal Iduna Park. Uwanja ungependezeshwa kwa rangi za njano na nyekundu lakini, mlipuko wa Covid 19, unasababisha mchezo huu kuchezwa bila mashabiki. Huku Haaland, kule Lewandowski. Nani ni nani ndani ya dakika 90? Ifuate Odds ya 1.81 kwa Bayern.

 

Kule Rome, Italia – AS Roma kuchuana na Inter Milan. Inzaghi vs Mourinho. Bonge la mchezo kwenye Serie A wikiendi hii. Inter ametoka kwenye ushindi huku Roma akiwa ametoka kupoteza mchezo. Hisia mbili tofauti kuchuana ndani ya dakika 90. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.06 kwa Inter.

Kwenye EPL, Aston Villa uso kwa uso dhidi ya Leicester City. Villa chini ya Steven Gerrard imekuwa bora kwenye michezo ya hivi karibuni, anakwenda kukutana na Foxes ambayo pia, inagawa vipigo vikubwa kila wanapopata nafasi. Karata yako inaweza kutoa matunda kwenye Odds ya 2.40 kwa Villa ndani ya Meridianbet.

 

Kule Goodison Park, Everton watawaalika Arsenal. Timu zote mbili zimetoka kupoteza michezo yao kwenye EPL. Hali sio shwari kwa Everton baada ya mashabiki kuonekana kwenda tofauti na Rafa Benitez toka alipoteuliwa. The Gunners nao wapo kama hawapo ila wanapachika magoli. Hii hapa Odds ya 2.25 kwa Arsenal.

 

Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote.