UncategorizedVIDEO:NKANE AFUNGUKIA KUHUSU WAARABU KWA MKAPA Saleh2 years ago01 mins KIUNGO wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amefungukia kuhusu mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger Waarabu wa Algeria unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 28 Yanga wakianzia nyumbani. Post navigation Previous: MATAJIRI WA DAR KWENYE DAKIKA 180 ZA MOTONext: LIVERPOOL YAKAMWA KUTINGA NNE BORA, WAJIVUNIA HIKI