Esperance Tunis 1-0 Simba SC CAF Champions League
Esperance Tunis 1-0 Simba SC ni matokeo kwenye mchezo wa tatu hatua ya makundi msimu wa 2025/26 kwenye msako wa pointi tatu kusaka tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali. Goal la ushindi lilifungwa na Jack Diarra dakika ya 21 kipindi cha kwanza lilidumu mpaka mwisho wa mchezo kwa wenyeji kuvuna pointi tatu wakiwa nyumbani….