Yanga Yapata Pigo, Duke Abuya Aumia Paja

Yanga SC inaweza kumkosa kiungo wake, Duke Abuya, kwa kipindi ambacho bado hakijafahamika baada ya kupata jeraha la nyama za paja katika mchezo wa watani wa jadi dhidi ya Simba SC, ambao Yanga ilipoteza kwa mabao 2-1. Taarifa kuhusu hali ya mchezaji huyo imetolewa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, aliyesema…

Read More