Macho Yote Juventus, Milan na London Derby Arsenal vs Chelsea

Je unajua kuwa wikendi iliyopita kuna watu wameweza kubadili maisha yao kwa dau dogo kabisa la shilingi mia tano?. Huenda leo ikawa ni nafasi yako na wewe na unachotakiwa kufanya ni kutengeneza jamvi lako na ubeti sasa.

Kule Uingereza EPL itakuwa ya moto haswa kwani Dunia nzima itakuwa ikisubiri mechi ya London Derby kati ya Arsenal dhidi ya Chelsea mechi ambayo inatarajiwa kuwa ya kuvutia haswa kwani zinakutana timu mbili ambazo zote zinahitaji ushindi kwenye mechi hii ya leo.

Arsenal chini ya Arteta ndio mabingwa watetezi wa ligi, lakini pia wamenza vyema kabisa ligi kwa kushinda mechi zake mbili bila kuruhusu bao lolote kwani wamekuwa na ukuta bora kwenye ligi nzima baada ya kuruhusu magoli machache msimu uliopita.

Huku kwa upande wa Chelsea wao msimu uliopita ulikuwa wa kusua sua kwao wakishindwa kujipatia mpaka nafasi za kushiriki michuano mikubwa ya Ulaya kama vile Uefa, Europa na hata Conference na kufanya maamuzi ya kuachana na aliyekuwa kocha wao na kuajiri kocha mpya. Jisajili hapa.

Tengeneza pesa kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

The Blues wamefanya usajili msimu huu kwaajili ya kuimarisha kikosi ikiwemo kusajili golikipa Emiliano kutokana na makosa ambaypo Sanchez alikuwa nayo, hivyo mechi hii inaenda kuwa ya ushindani mkubwa wakiwa na koca mpya Alonso.

Arsenal wameendelea kuwa wababe mbele ya vijana hao wa Darajani kwani mara ya mwisho kupata ushindi ilikuwa ni msimu wa 2021, hivyo ni muda mrefu sana hawajapata ushindi?. Je nani kuondoka na ushindi?. Beti hapa.

Kule Hispania LALIGA pia itaendelea ambapo Valencia watawaleta kwao Barcelona ambao ni mabingwa watetezi wa ligi na wanahitaji kupata ushindi kuendelea kujikita kileleni kwenye msimamo wa ligi.

Valencia wapo katika hali ngumu zaidi baada ya kukusanya pointi moja pekee katika mechi tatu, hivyo mechi hii wakiwa nyumbani mbele ya mashabiki zao wanahitaji kuthibitisha kuwa wanaweza kupambana na timu kubwa.

Barcelona wameonyesha ubora mkubwa katika safu ya ushambuliaji. Katika mechi tatu za mwanzo wamefunga mabao 12, huku wakiruhusu mawili pekee. Ushindi wa 5-2 dhidi ya Rayo Vallecano ulikuwa uthibitisho mwingine wa uwezo wao wa kutengeneza nafasi na kumaliza mashambulizi, huku Raphinha na Lamine Yamal wakifunga mabao mawili kila mmoja. Meridianbet wanakwambia beti mechi hii sasa.

Halikadhalika kule Italia, SERIE A kuna mechi zitaendelea, lakini mechi kali ni hii ya Juventus vs AC Milan mchezo ambao tayari umebeba uzito mkubwa kwa sababu timu zote mbili zimeanza ligi kwa ushindi wa asilimia 100.

Juventus wamefungua msimu kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Frosinone na 2-0 dhidi ya Parma, huku Milan wakiwashinda Torino 2-1 na Venezia 2-0. Hivyo, hii ni vita ya timu mbili ambazo bado hazijapoteza pointi.

Bibi Kizee wanaonekana kuwa na mwanzo wenye utulivu zaidi upande wa ulinzi. Katika mechi zao mbili za kwanza hawajaruhusu bao lolote, jambo linaloonyesha nidhamu ambayo kocha Luciano Spalletti ameanza kuijenga. Ushindi wa 2-0 dhidi ya Parma pia ulionyesha kwamba Juventus wanaweza kupata tofauti kupitia wachezaji wanaotokea benchi, baada ya Nico González na Teun Koopmeiners kuamua mchezo.

Wakati  AC Milan, wao mwanzo wao pia umeleta matumaini makubwa. Ushindi dhidi ya Torino na Venezia umeonyesha kwamba kikosi kinaweza kupata matokeo hata kama hakitawali kila dakika ya mchezo. Jambo la kuvutia zaidi ni kwamba Milan wanaingia katika mchezo huu chini ya kocha Ruben Amorim, ambaye anaanza kujenga utambulisho mpya wa timu.

Kwahiyo yoyote ambaye atakuwa amejiandaa vyema anaweza akaondoka na ushindi kule Meridianbet ambapo pia kuna machaguo zaidi ya 1000 yakiwa yanakungoja siku ya leo. Jisajili hapa.