Skip to content
Saturday, October 24, 2026
  • Mechi Kali za Leo! Stuttgart, Torino na Ipswich Kutafuta Ushindi
  • Simba Yapigwa Faini ya Milioni 15 Kwa Makosa ya Mashabiki Wake
  • Milioni 4 Za Egt Digital Zawasubiri Washiriki Wa Spin Legends
  • Simba Yawataka Wanasimba Kujitokeza Kwa Wingi Uhuru, Doumbia Kuwa Mgeni Rasmi

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Mechi Kali za Leo! Stuttgart, Torino na Ipswich Kutafuta Ushindi
  • Simba Yapigwa Faini ya Milioni 15 Kwa Makosa ya Mashabiki Wake
  • Milioni 4 Za Egt Digital Zawasubiri Washiriki Wa Spin Legends
  • Simba Yawataka Wanasimba Kujitokeza Kwa Wingi Uhuru, Doumbia Kuwa Mgeni Rasmi

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • September
  • 6

September 6, 2026

  • Featured
  • International
  • Sports

Barcelona Yaiangushia Valencia Kichapo Cha 5-0, Na Kurudi Kilele La Liga

Saleh2 months ago01 mins

FC Barcelona imeendelea na mwanzo bora wa msimu baada ya kuichapa Valencia CF mabao 5-0 katika mchezo wa La Liga uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mestalla. Barcelona ilianza kwa kasi, huku Lamine Yamal akifungua ukurasa wa mabao mapema dakika ya 6. Fermín López akaongeza la pili dakika ya 22 kabla ya Raphinha kufunga la tatu…

Read More
  • Featured
  • International
  • Sports

Manchester United Yashindwa Kuondoka na Pointi Tatu Everton

Saleh2 months ago01 mins

LIVERPOOL, England — Mashetani Wekundu, Manchester United, wameshindwa kuondoka na ushindi mbele ya wenyeji Everton baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 katika mchezo wa mzunguko wa nne wa Ligi Kuu England. United ilianza kipindi cha pili kwa nguvu na kupata bao dakika ya 46 kupitia Bryan Mbeumo, aliyemalizia assist ya Kobbie Mainoo. Everton walijibu dakika…

Read More
  • International
  • Sports

Tanzania Yaanza Kwa Kishindo CAF, Simba na Singida Zang’ara Ugenini

Saleh2 months ago01 mins

Timu za Tanzania zimeanza kwa matokeo mazuri katika mashindano ya klabu Afrika, huku Simba SC na Singida Black Stars zikirejea nyumbani na ushindi katika mechi zao za kwanza za raundi ya kwanza ya kufuzu. Simba SC ilianza kampeni yake ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) 2026/27 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya…

Read More
  • Sports

Macho Yote Juventus, Milan na London Derby Arsenal vs Chelsea

Saleh2 months ago2 months ago03 mins

Je unajua kuwa wikendi iliyopita kuna watu wameweza kubadili maisha yao kwa dau dogo kabisa la shilingi mia tano?. Huenda leo ikawa ni nafasi yako na wewe na unachotakiwa kufanya ni kutengeneza jamvi lako na ubeti sasa. Kule Uingereza EPL itakuwa ya moto haswa kwani Dunia nzima itakuwa ikisubiri mechi ya London Derby kati ya…

Read More
  • Sports

Wacky Panda Mania Yaingia Meridianbet na Kuleta Burudani Mpya

Saleh2 months ago2 months ago02 mins

Mashabiki wa michezo ya kasino wana sababu nyingine ya kuongeza burudani yao baada ya Wacky Panda Mania kuwasili Meridianbet. Mchezo huu kutoka Games Global unakuja na mazingira yenye mvuto, panda wenye tabia zao za kipekee na uchezaji wa kipekee unaoweza kuleta ushindi kila unapocheza. Kama ulifikiri panda ni wanyama wa kukaa na kula mianzi tu,…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.