Newcastle Yashindwa Kuishinda Liverpool, Szoboszlai Aokoa Reds Dakika za Mwisho

Newcastle United na Liverpool zimetoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu England uliokuwa na presha kubwa hadi dakika za mwisho. Newcastle ilianza kwa kasi na kupata bao la kuongoza dakika ya tano kupitia Anthony Elanga, kabla ya Liverpool kusawazisha kupitia Cody Gakpo. Newcastle ilirejea mbele baada ya Joe Willock kufunga bao lililoonekana…

Read More