Je unajua kuwa leo hii inaweza kuwa ni siku ya bahati yako ukisuka jamvi lako na wakali wa ubashiri?. Timu za ushindi zinakungoja wewe pekee. Je nani unampa nafasi ya ushindi?
Kule katika ligi kuu ya Hispania yaani LALIGA itaendelea kwa mchezo mmoja kati ya Deportivo La Coruna dhidi ya Elche ambapo huu ni mchezo wa ufunguzi kwa timu zote mbili kwani timu hizi ndio zinakutana kwenye msimu huu mpya wa ligi na matokeo mazuri ni muhimu kwa wote wawili.
Lakini timu hii ya Deportivo la Coruna ndio kwanza imepanda daraja msimu huu hivyo watakuwa na ile hamu ya kupata ushindi na ukizingatia watakuwa wakicheza nyumbani kwao mbele ya mashabiki zao. Elche wao walikuwa ligi kuu msimu uliopita na ni moja ya timu ambazo zilikuwa sumbufu sana hata kwa vilabu vikubwa.
Vilevile Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Wakati kwa upande wa Elche wao wataingia kwenye mchezo wakihitaji kujipatia ushindi ugenini lakini je wenyeji watakubali kuanza kwa kupoteza mechi?. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii ya leo. Bashiri na ushinde hapa sasa.
Timu hiyo wanahitaji kupata matokeo kwenye mechi ya leo ukilinganisha kuwa wana ratiba ngumu inayokuja kwani watatakiwa kukipiga dhidi ya bingwa mtetezi wa ligi hiyo hivyo ushindi kwenye mechi hii ndio kitu kinahitajika.
Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi mara ya mwisho kukutana Elche waliondoka na ushindi mnono kabisa. Je wenyeji wanaweza kulipa kisasi siku ya leo?. Suka jamvi hapa.
COPPA ITALIA kule Italia hatua ya kwanza itapigwa ambapo Pisa atakipiga dhidi ya Empoli. Hii ni mechi yenye mvuto kwa sababu ni derby ya Tuscany, na kila timu inahitaji pointi 3 pekee iweze kuvuka na kwenda kwenye hatua nyingine inayofuata. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mtanange huu wa leo, hivyo jisajili hapa.
Wenyeji ambao ni Pisa watakuwa na faida ya kucheza mbele ya mashabiki wao, jambo ambalo linaweza kuwa muhimu katika mchezo wa raundi ya kwanza ambapo wakiweka umakini mzuri zaidi wanaweza wakaondoka na ushindi mnono kabisa.
Pisa baada ya kupata ushindi kwenye mechi yake ya kirafiki ni ishara tosha ya kuwa imeweza kujiandaa vyema kabisa kuelekea kwenye michuano inayofuata.
Wakati Empoli wao wana uzoefu wa kutosha katika michezo ya aina hii na historia yao dhidi ya Pisa inawapa sababu ya kujiamini. Katika rekodi ya hivi karibuni inayopatikana, Empoli wana ushindi 4, sare 1 na hawajapoteza dhidi ya Pisa katika mikutano hiyo mitano.
Mikutano yao ya mwisho katika Serie B mwaka 2020/21 ilimalizika kwa 1-1 mjini Pisa, wakati Empoli walishinda 3-1 walipokuwa wenyeji. Hii inaonyesha kwamba Empoli wamekuwa na uwezo wa kupata matokeo mazuri dhidi ya Pisa, lakini pia Pisa anaweza kuwafanya wapate wakati mgumu hasa akiwa nyumbani. Tengeneza mkeka wako hapa.