Declan Rice Ajigonga Usomoni na Ngao ya Jamii Baada ya Kuifunga Manchester City 3-0
Kiungo wa Arsenal, Declan Rice, amepata tukio la kuchekesha wakati wa sherehe za kutwaa Kombe la Community Shield, baada ya kujigonga usoni kwa bahati mbaya wakati akiinua kombe hilo. Tukio hilo lilitokea baada ya Arsenal kuifunga Manchester City mabao 3-0 katika mchezo wa Community Shield, uliokuwa ukiashiria mwanzo wa msimu wa 2026/27. Baada ya nahodha…