Skip to content
Sunday, August 9, 2026
  • FIFA Yapinga Kampeni ya Kumng’oa Infantino, Yaita Madai Hayo “Uzushi”
  • Porto Kuanza Utetezi wa Taji Leo Dhidi ya Alverca Primeira Liga
  • Throne of Ra: Ingia Kwenye Ufalme wa Mafarao Kupitia Meridianbet
  • West Ham Yaingia Uwanjani Kumsaka Ushindi Dhidi ya Portsmouth

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • FIFA Yapinga Kampeni ya Kumng’oa Infantino, Yaita Madai Hayo “Uzushi”
  • Porto Kuanza Utetezi wa Taji Leo Dhidi ya Alverca Primeira Liga
  • Throne of Ra: Ingia Kwenye Ufalme wa Mafarao Kupitia Meridianbet
  • West Ham Yaingia Uwanjani Kumsaka Ushindi Dhidi ya Portsmouth

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • August
  • 8

August 8, 2026

  • International
  • Sports

West Ham Yaingia Uwanjani Kumsaka Ushindi Dhidi ya Portsmouth

Saleh21 hours ago02 mins

Zaidi ya Maelfu wametoka kupata ushindi mkubwa kwa kubashiri mechi zao zote na Meridianbet. Huenda hii ikawa ni nafasi yako na wewe kuondoka na maokoto sasa. Unasubiri nini?. Jisajili hapa. Michuano ya EFL kule Uingereza itaendelea leo ambapo West Ham United watawakaribisha Portsmouth katika Uwanja wa London Stadium, mechi ambayo inatarajiwa kuwa ya ushindani mkubwa…

Read More
  • Sports

Leo ni Simba Day! Mnyama Ajiandaa Kuonyesha Nguvu Zake Msimu Mpya

Saleh1 day ago01 mins

Leo ni siku kubwa kwa mashabiki wa Simba SC, huku klabu hiyo ikiandaa tamasha lake la Simba Day, ambalo litatumika rasmi kuwatambulisha wachezaji pamoja na benchi la ufundi kwa msimu wa 2026/2027. Simba Day imekuwa moja ya matukio muhimu kwa klabu hiyo, ambapo mashabiki hupata fursa ya kuiona timu yao mpya, wachezaji wapya pamoja na…

Read More
  • International
  • Sports

Barcelona Yamvamia Rodri, Real Madrid Yajitoa, City Yakataa Ofa ya Bilioni 137

Saleh1 day ago02 mins

Barcelona imewasilisha ofa ya kwanza ya pauni milioni 38.5 (TSh bilioni 137) kwa Manchester City kwa ajili ya kiungo wa kati wa Hispania, Rodri, lakini ofa hiyo imekataliwa. Manchester City iko tayari kumuuza nyota huyo mwenye umri wa miaka 30, ambaye mkataba wake unakaribia kumalizika, lakini klabu hiyo inataka zaidi ya pauni milioni 60 (TSh…

Read More
  • Sports

Vita vya Zombi Vaanza! Meridianbet Yaja na Zombie Apocalypse

Saleh2 days ago20 hours ago02 mins

Mzuka mpya umeingia kwenye ulimwengu wa kasino mtandaoni baada ya Meridianbet kuwaletea wachezaji wake mchezo wa Zombie Apocalypse unaokuja na burudani ya aina yake. Mchezo huu umebeba kila kitu ambacho mchezaji anahitaji; msisimko, changamoto na nafasi ya kushinda zawadi kubwa. Kupitia ushirikiano wake na Expanse Studios, Meridianbet imeleta mchezo wenye ubunifu wa hali ya juu…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.