Video: Hersi Awataka Wanachama wa Yanga Kuvunja Makundi Baada ya Uchaguzi, Watano Wachaguliwa

Wanachama wa Yanga wamewachagua wajumbe watano wapya wa Kamati ya Utendaji katika Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa SuperDome, Masaki jijini Dar es Salaam. Waliochaguliwa kushika nafasi hizo ni Yanga Makaga, Alex Ngai, Julius Koyi, Munir Said na Fahd Afif, baada ya kuibuka washindi katika uchaguzi uliofanyika wakati wa mkutano huo. Uchaguzi…

Read More

Mangungu: Mimi na Mo Dewji Tulipitisha Majina ya Wajumbe Wapya

Mwenyekiti wa Simba Sports Club, Murtaza Mangungu, amesema uteuzi wa baadhi ya wajumbe wapya wa uongozi wa klabu hiyo ulifanyika baada ya majadiliano kati yake na mfadhili wa klabu, Mohammed Dewji maarufu kama Mo Dewji. Akizungumza leo Agosti 3, 2026 katika kipindi cha Crown, Mangungu alisema majina ya wajumbe waliochaguliwa yalipendekezwa kwa ushirikiano kati yake…

Read More

Mechi 14, Dau Dogo, Zawadi Hadi Bilioni 2, Jackpot Mpya ya Meridianbet Yaanza

Katika zile Jackpot ambazo unazijua basi kuna hii ya Meridianbet ambayo ni Diamond Jackpot ya Bilioni 2. Kwa Jero tuu unaweza ukabashiri mechi zako 14 na ukajiweka kwenye washindi. Kwenye ukuaji wa Sayansi na Teknolojia mambo mengi yamerahisishwa sana ikiwemo kubashiri ukiwa na siku yako Ndipo wakali wa ubashiri Meridianbet wakaamua sasa waje na Jackpot…

Read More