TFF Yangaza Adhabu ya Kupokwa Pointi 5 kwa Timu Zitakazokwepa ‘Dressing Room’

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza hatua mpya za kinidhamu kwa timu zitakazoshindwa kutumia vyumba rasmi vya kubadilishia nguo viwanjani bila sababu za msingi, huku adhabu ya kupokwa pointi tano ikitarajiwa kutumika kwa watakaokiuka utaratibu huo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 30, 2026, katika makao makuu ya TFF, Rais wa shirikisho…

Read More

Usiku wa Mabingwa Wafika, Meridianbet Yawapa Wabashiri Jukwaa la Ushindi

Mashabiki wa michezo ya mapigano duniani wapo kwenye wiki ya msisimko mkubwa huku macho yote yakielekezwa jijini Belgrade, Serbia, ambako usiku wa tarehe 1 Agosti 2026 kutafanyika UFC Fight Night Belgrade ndani ya ukumbi wa kisasa wa Belgrade Arena. Tukio hili linatarajiwa kuwa moja ya makubwa zaidi katika kalenda ya UFC mwaka huu, likiwakutanisha wapiganaji…

Read More