Argentina 3-2 Misri, FIFA Kombe la Dunia 2026

Argentina 3-2 Misri, FIFA Kombe la Dunia 2026 ni matokeo ambayo yamekuwa pigo kwa timu ya Misri kutoka Afrika iliyoanza kwa kuongoza katika 67 za mchezo huku V.A.R ikifuta bao moja kwa upande wao. Magoli ya Misri yamefungwa na Yasser Ibrahim dakika ya 15 na Mostafa Ziko dakika ya 67. Walikwenda mapumziko wakiwa wanaongoza. Nyota…

Read More

Nado afungukia ishu ya kuikamia Simba SC

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Idd Nado amefunguka kuhusu kudaiwa kuwa anaikamia sana Simba SC kwenye mechi ambazo wanakutana. Nado amekuwa kwenye ubora msimu wa 2025/26 ambapo timu hiyo imemaliza kwenye msimamo ikiwa nafasi ya 3 baada ya kukusanya jumla ya pointi 64. Dhidi ya Simba SC kwenye mechi mbili walipata ushindi mchezo mmoja na…

Read More

Ureno ndo basi tena Kombe la Dunia 2026

Mchezo wa hatua ya 16 bora, Portugal vs Spain FIFA Kombe la Dunia 2026 umewaachia maumivu timu Ronaldo. Mikel Merino aliingia akiwa ni mchezaji wa akiba na kufunga bao la ushindi kwa Hispania, wakishinda Ureno ya Cristiano Ronaldo 1-0 jijini Dallas Jumatatu usiku na kukatisha safari ya gwiji huyo katika Kombe la Dunia huku Hispania…

Read More