Mbeya City 0-1 Simba SC

Mbeya City 0-1 Simba SC, NBC Premier League, mchezo uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya Juni 17, 2026 kwa wababe hawa kupambania pointi 3. Goli pekee ka ushindi limefungwa na winga Ellie Mpanzu dakika ya 43 kipindi cha kwanza limedumu mpaka mwisho wa mchezo. Huu unakuwa ni mchezo wa 3 mfululizo Mpanzu anafunga kwenye NBC Premier…

Read More

Messi Ang’ara kwa Hat-Trick, Argentina Yaichapa Algeria 3-0 Kombe la Dunia

Nahodha wa Argentina, Lionel Messi, ameandika historia nyingine usiku wa kuamkia leo baada ya kufunga mabao matatu (hat-trick) na kuiongoza Argentina kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Algeria katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Dunia. Mashabiki wengi walikuwa wakisubiri kuona mchango wa Messi mwenye umri wa miaka 39 katika mashindano hayo ambayo…

Read More