Skip to content
Wednesday, July 22, 2026
  • Historia Yaandikwa Ruangwa Queens Kwa Msaada Wa Vifaa Vya Michezo
  • Usiku wa Ulaya Slovakia: Spartak Trnava, CSKA Sofia Kwenye Kibarua Kigumu
  • Chelsea Yamsajili Morgan Rogers kwa Rekodi ya Uingereza ya Pauni Milioni 117
  • Kipa wa Hispania Misa Rodríguez Ajiunga na Arsenal Baada ya Miaka Sita Real Madrid

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Historia Yaandikwa Ruangwa Queens Kwa Msaada Wa Vifaa Vya Michezo
  • Usiku wa Ulaya Slovakia: Spartak Trnava, CSKA Sofia Kwenye Kibarua Kigumu
  • Chelsea Yamsajili Morgan Rogers kwa Rekodi ya Uingereza ya Pauni Milioni 117
  • Kipa wa Hispania Misa Rodríguez Ajiunga na Arsenal Baada ya Miaka Sita Real Madrid

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • June
  • 7

June 7, 2026

  • International
  • Sports

Wanachama wa Real Madrid Waonyesha Imani kwa Pérez

Saleh1 month ago01 mins

Rais wa sasa wa klabu ya Real Madrid, Florentino Pérez, anatarajiwa kushinda uchaguzi wa urais wa klabu hiyo kwa kupata takribani asilimia 65 ya kura, kwa mujibu wa exit polls zilizoripotiwa na vyombo vya habari vya michezo vya Hispania. Kwa mujibu wa taarifa hizo, kura zilizopigwa kwa njia ya posta bado hazijajumuishwa kwenye matokeo hayo…

Read More
  • Entertainment

Ali Kiba na Harmonize Watoa Hit Kali ya Mapenzi “Utanionea”

Saleh2 months ago01 mins

Wimbo huu ni wa mapenzi unaosimulia hisia za mtu aliyependa kwa muda mrefu, akihofia kupoteza penzi lililojengeka kwa miaka mingi ya kumbukumbu na uzoefu wa pamoja. Ujumbe wake unaonyesha kuwa kuachana na mtu unayempenda kwa dhati ni jambo gumu sana kutokana na uhusiano ulioimarika kwa muda mrefu. Utoaji huu unaonyesha hisia za kina za mapenzi,…

Read More
  • International
  • Sports

Haaland, Mbappé na Kane, Nani Kuandika Historia Kombe la Dunia 2026?

Saleh2 months ago03 mins

Siku kadhaa zijazo tutaenda kushuhudia michuano mikubwa ya Kombe la Dunia ambayo itapigwa huko kwenye nchi 3 yaani Mexico, Canada na Marekani. Wachezaji vinara wa Mataifa hayo kugombea kiatua cha ufungaji bora. Je nani kuibuka mbabe? Lionel Messi ambaye ni Muargentina na mabingwa watetezi wa Kombe hili pia anapewa nafasi ya 3 kuchukua kiatua cha…

Read More
  • Sports

Spin za Dhahabu na Bahati: Leprechaun Wish Yavunja Rekodi ya Burudani

Saleh2 months ago2 months ago01 mins

Wapenzi wa kasino mtandaoni wana sababu mpya ya kutabasamu. Leprechaun Wish kutoka Meridianbet imewasili ikiwa na burudani ya kipekee na nafasi nyingi za ushindi kwa kila anayethubutu kujaribu bahati yake. Mandhari yake ya Ireland imejaa alama za kuvutia kama chungu cha dhahabu, sarafu na kofia za kichawi. Hizi si alama za kawaida tu, bali ni…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.