Azam FC Yamwongeza Mkataba Kocha Florent Ibenge
Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, ameripotiwa kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuinoa klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Kwa mujibu wa taarifa hizo, Azam FC imefanikiwa kumbakisha kocha huyo licha ya kuwepo kwa tetesi kwamba alikuwa tayari amefikia makubaliano ya awali na Chama cha Soka cha Mali kwa ajili ya…