Allen Okello anakera kinomanoma
Allen Okello kiungo mshambuliaji wa Yanga SC anakera kinomanoma kama hayupo upande wako kutokana na kujiamulia mambo kwenye mechi ngumu NBC Premier League. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC Complex, Mei 22, 2026 dhidi ya Singida Black Stars alijiamulia kufunga magoli mawili wakishinda magoli 3-0. Okello alifungua ukurasa wa magoli dakika ya 14 na 68…