Coastal Union 1-2 Simba SC NBC Premier League
MCHEZO wa NBC Premier League umekamilika ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga umesoma Coastal Union 1-2 Simba SC. Ni Maabad Maabad alifungua ukurasa wa magoli dakika ya 9 kwa shuti kali huku Libasse Gueye aliweka usawa dakika ya 37 na goli la ushindi limefungwa na Anicent Oura dakika ya 44 akitumia pasi ya Clatous Chama….