TRA United Yaichapa Azam FC 4-1 Sheikh Amri Abeid, Arusha
Shughuli imehitimishwa katika dimba la Sheikh Amri Abeid Stadium ambapo TRA United wameonyesha ubabe wao kwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu. Mchezo huo uliokuwa na kasi na ushindani mkubwa ulianza kwa pande zote kushambuliana, ambapo Azam FC walitangulia kupata bao kupitia Japhet Kitambala dakika…