Dabi ya Kariakoo Yahamishiwa Uwanja wa Isamuhyo Mei 03, 2026 Saa 12:00 Jioni
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imetangaza mabadiliko ya uwanja kwa mchezo wa pili wa Dabi ya Kariakoo msimu wa 2025/26 kati ya Simba na Yanga. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Aprili 24, 2026, mchezo huo sasa utapigwa Mei 03, 2026 saa 12:00 jioni katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, ambao ni uwanja wa nyumbani wa…