Usipange Kukosa Mechi za leo Brighton vs Chelsea, Inter Milan vs Como 1907 | Uchambuzi wa Mechi Upo Hapa
Vita inazidi kuwa kali huko Uingereza ambapo baada ya kubakia mechi chache sasa timu zinapambana kwa hali na mali kusaka nafasi ya kufuzu kwenye Uefa, wengine Europa. Je vipi The Blues watapita?. Jumanne hii hapa kule Uingereza kutakuwa na mchezo mmoja wa EPL kati ya Brighton & Hove Albion dhidi ya Chelsea ambao wamekuwa na…