Pamba Jiji FC vs Yanga SC kituo kinachofuata

Pamba Jiji FC vs Yanga SC kituo kinachofuata katika NBC Premier League 2025/26 kwa wababe hawa wawili kusaka pointi 3 muhimu. Yanga SC 3-0 Tanzania Prisons ni matokeo yaliyopita kwenye mchezo wa ligi na mchezaji bora alichaguliwa Allen Okello raia wa Uganda ilikuwa ni Aprili 4, 2026, Uwanja wa KMC Complex. Mashujaa FC 0-0 Pamba…

Read More

Hii hapa ratiba ya Simba SC Aprili

SIMBA SC 2025/26 ina mechi za kazi zinafuata kwenye ratiba mara baada ya kukamilisha dakika 90 dhidi ya Azam FC kwa sare ya 0-0, Uwanja wa Azam Complex, Aprili 5, 2026. Hii hapa ratiba inayofuata kwa Simba SC:- TRA United vs Simba SC, Aprili 9, 2026, saa 10:00 jioni Simba SC vs Dodoma Jiji FC,…

Read More

Mechi atakazokosekana Diarra Yanga SC 2025/26

BAADA ya kuwa kwenye adhabu ya kufungiwa mechi 3 na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) kutokana na makosa ya kinidhamu mlinda mlango namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra tayari ameshakosekana kwenye mchezo mmoja wakiwa nyumbani na langoni alianza Aboutwalib Mshery. Yanga SC 3-0 Tanzania Prisons, Aprili 4,2026. Mchezo huu Yanga SC walikuwa nyumbani,…

Read More

Yanga SC vs Tanzania Prisons kupigwa KMC Complex

YANGA SC vs Tanzania Prisons NBC Premier League ni leo Aprili 4, 2026 Uwanja wa KMC Complex saa12:30 jioni. Kocha Mkuu wa Yanga Pedro Goncalves amesema kuwa ataendelea kuwakosa baadhi ya wachezaji ambao hawapo fiti lakini wapo tayari kwa ajili ya kupambania pointi tatu. “Tumekuwa na mazoezi mazuri ya kujiandaa dhidi ya Tanzania Prisons, akili…

Read More