Bacca amuombea Job kurejea uwanjani haraka

BEKI wa Yanga SC, Ibrahim Bacca ameweka wazi kuwa anamuombea beki Dickson Job ili arejee uwanjani haraka kutokana na kuwa nje kwa muda mrefu. Job alipata maumivu kwenye mchezo wa NBC Premier League dhidi ya Simba SC, uliochezwa Uwanja wa New Amaan Complex, taarifa za awali zimeeleza kuwa huenda atakuwa nje ya uwanja kwa msimu…

Read More