FT: TRA United 0-0 Yanga SC

MCHEZO wa NBC Premier League umekamilika kwa wababe wawili kutoshana nguvu baada ya dakika 90. Ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid umesoma TRA United 0-0 Yaga SC wakigawana pointi mojamoja. Kiungo mkabaji wa TRA United, Mzamiru Yassin alionyeshwa kadi mbili za njano hali iliyopelekea kuonyeshwa kadi nyekudu dakika ya 85. Matokeo hayo yanafanya Yanga…

Read More

HT: TRA United 0-0 Yanga SC

HT: TRA United 0-0 Yanga SC Uwanja wa Sheikh Amri Abeid dakika 45 zimekamilika ubao ukisoma TRA United 0-0 Yanga SC TRA United Yanga SC 2 Mashuti 3 0 Lenga lango 0 34% Umiliki 66% 2 Mashuti yasiyolenga lango 3 0 Kadi nyekundu 0 0 Kadi ya njano 0 0 Kona 1 0 Magoli 0…

Read More

Mechi kali wiki hii NBC Premier League

NBC Premier League inaendelea leo ambapo kutakuwa na mechi kali mbili za ushindani kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Hii hapa ratiba ambapo Simba SC na Yanga SC zote zitakuwa kazini wiki hii kusaka pointi tatu ugenini Machi 18 2026 mechi mbili ni: TRA United vs Yanga SC saa 10: 00 jioni Tanzania Prisons vs…

Read More

Beki wa kazi Simba SC aanza matizi

RASMI beki wa kazi ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Steve Barker ameanza mazoezi maalumu ili kurejea katika ubora. Ni Abdulrazack Hamza ambaye alipata maumivu kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Anatarajiwa kuwa nje kwa msimu mzima akipambania hali yake ikiwa atatengamaa mapema…

Read More

Rais wa Senegal Ailipua CAF “Hatutashiriki Tena AFCON!”

Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametoa tamko kwa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kufuatia uamuzi wa kushtua wa kuipokonya nchi yake taji la AFCON 2025 na kuwapa Morocco. Katika kauli iliyosambaa katika mitandao ya kijamii, Rais Faye amenukuliwa akisema: “Kama CAF haitabadilika na kuendelea kunyonya na kuingiza rushwa katika soka la Afrika, Senegal…

Read More

Nani Kusonga Hatua ya Robo Fainali UEFA Leo? Liverpool, Bayern, Barca na Atletico

Pilikapilika za Ligi ya Mabingwa bado zinaendelea huku mechi za mkondo wa pili zikipamba moto. Kila timu inahitaji kushinda ili kwenda hatua inayofauata. Je nani unampa beti yako Liverpool ataumana dhidi ya Galatasaray Instanbul baada ya mechi ya kwanza kupigika kule Uturuki. Slot anahitaji ushindi kwenye mtanange huu wa leo ili ajiweke vyema kwenye mbio…

Read More

Senegal Wakataa Kurudisha Kombe la AFCON, Wailipua CAF

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limekosoa uamuzi wa CAF kuwatangaza kupoteza mechi ya fainali ya AFCON 2025 , na hivyo ushindi wa mezani wa mabao 3–0 kutolewa kwa Morocco . FSF limeahidi kupeleka rufaa kwa Mahakama ya Michezo (CAS) huko Lausanne. Katibu Mkuu wa FSF, Abdoulaye Sow, amesema:“Kombe halitaondoka nchini Senegal ina haki, na…

Read More

Arsenal, Real Madrid na Paris Saint-Germain Watinga Robo Fainali UEFA kwa Kishindo

Timu za Arsenal, Real Madrid na Paris Saint-Germain zimefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya UEFA Champions League baada ya kuonyesha ubora mkubwa katika michezo ya hatua ya 16 bora iliyopigwa usiku wa kuamkia leo. PSG Waidhalilisha Chelsea kwa Mabao 3-0 Katika dimba la Stamford Bridge, Paris Saint-Germain waliendeleza ubabe wao kwa kuichapa Chelsea mabao…

Read More