HT: TRA United 0-0 Yanga SC

HT: TRA United 0-0 Yanga SC

Uwanja wa Sheikh Amri Abeid dakika 45 zimekamilika ubao ukisoma TRA United 0-0 Yanga SC

TRA United

Yanga SC

2

Mashuti

3

0

Lenga lango

0

34%

Umiliki

66%

2

Mashuti yasiyolenga lango

3

0

Kadi nyekundu

0

0

Kadi ya njano

0

0

Kona

1

0

Magoli

0

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.