Matokeo ya Ligi Kuu: Wolves 2–1 Liverpool, Everton 2–0 Burnley

Liverpool, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England, wamekubali kichapo cha 2-1 dhidi ya Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo uliochezwa kwenye dimba la Molineux. Matokeo ya Mchezo Wolverhampton 2–1 Liverpool 78’ ⚽ Gomes (Wolves) 83’ ⚽ Salah (Liverpool) 90+4’ ⚽ Andre (Wolves) Liverpool walijaribu kurekebisha matokeo kupitia bao la Mohamed Salah, lakini Wolves walithibitisha ushindi wao na…

Read More

Kumbe Seleman Mwalimu alipaswa kufungiwa mechi 5!

MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano Ali Kamwe amefichua kuwa mchezaji wa Simba SC, Seleman Mwalimu alipaswa kufungiwa mechi 5 kutokana na tukio la kuonekana akimpiga kiwiko mchezaji wa Dodoma Jiji FC. Machi Mosi 2026, Mwalimu alianzia benchi kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi alipoingia alipata nafasi yakufunga goli ambalo lilifutwa kwa tafsiri ya mwamuzi…

Read More