Chelsea Yalazimishwa Sare ya Dakika za Mwisho na Burnley
Chelsea F.C. 1️⃣ ➖ 1️⃣ Burnley F.C. Chelsea wameshindwa kuibuka na ushindi baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Burnley katika mchezo uliokuwa na drama hadi dakika za majeruhi. ⚽ Dakika ya 4, João Pedro aliitanguliza Chelsea kwa pasi ya Pedro Neto, akiwapa mashabiki matumaini ya ushindi wa mapema. 🟥 Dakika ya 72, mambo…