Simba Yaomboleza Kifo cha Baba wa Abdulrazak Hamza
Uongozi wa Simba SC umetangaza kwa masikitiko makubwa kifo cha baba mzazi wa mchezaji wake, Abdulrazak Hamza, Marehemu Mohamed Spea Hamza, kilichotokea leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu kabla ya kufariki dunia asubuhi ya leo, na kuacha pengo kubwa kwa…