Skip to content
Wednesday, April 15, 2026
  • Djigui Diarra kamili kuwakabili Mbeya City
  • Jonathan Sowah arejeshwa Simba SC
  • KMC FC vs Tanzania Prisons balaa zito leo
  • Fountain Gate vs Simba SC

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Djigui Diarra kamili kuwakabili Mbeya City
  • Jonathan Sowah arejeshwa Simba SC
  • KMC FC vs Tanzania Prisons balaa zito leo
  • Fountain Gate vs Simba SC

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • February
  • 10

February 10, 2026

  • Sports

Dkt. Mwigulu Aongoza Kikao Cha Kamati Ya Kitaifa Ya Afcon 2027

Saleh2 months ago01 mins

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika mwaka 2027 katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya kikao hicho leo Jumanne (Februari 10, 2026) Ofisi…

Read More
  • International
  • Sports

United Wafunga Mlango kwa Rashford, Barcelona Yapewa Kipaumbele cha Kumsajili

Saleh2 months ago02 mins

Manchester United wanaonekana kuendelea na mipango yao ya muda mrefu bila kumjumuisha Marcus Rashford, huku hatma ya mshambuliaji huyo ikizidi kuelekea kwenye uuzaji wa kudumu badala ya kurejea Old Trafford. Rashford kwa sasa anaitumikia Barcelona kwa mkopo wa msimu mzima, ambapo klabu hiyo ya La Liga ina kipengele cha kumnunua moja kwa moja kwa pauni…

Read More
  • Entertainment

IGP Wambura Asisitiza: Kununua Mbwa Wapya Ili Kuboresha Usalama!

Saleh2 months ago02 mins

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amesema Jeshi la Polisi litaendelea kuweka jitihada za kununua mbwa wapya wa kisasa na wenye uwezo ili kuboresha muonekano wa mbwa wa Polisi mwenye umbo lenye kumdhoofisha mhalifu. IGP Wambura, ameyasema hayo wakati wa Ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wakuu wa Kikosi cha Mbwa na farasi…

Read More
  • International
  • Sports

Leo EPL Inaita! ni West Ham vs Man United, Chelsea vs Leeds

Saleh2 months ago01 mins

⚽🔥 USIKU WA MAAMUZI EPL 🔥⚽ Saa 5 usiku macho yote London Stadium…⚒️ West Ham vs Manchester UnitedPointi 3 si anasa — ni lazima!Je, Carrick ataendeleza makali ya kikosi chake au West Ham watawazima taa? Lakini ratiba bado nzito…⚪ Tottenham vs Newcastle – vita ya kasi na nguvu🔵 Chelsea vs Leeds – presha, mashambulizi na…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.