Yanga Yakwama Rabat, Matumaini ya Robo Fainali CAFCL Yaingia Doa
Matumaini ya wawakilishi wa Tanzania, Young Africans (Yanga SC), kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) yamepata pigo zito baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya AS FAR Rabat katika mchezo mkali uliopigwa dimba la Olympique de Rabat, Morocco. Yanga walionyesha nidhamu kubwa ya kujilinda kwa muda mrefu wa…