Sasa Ni Wakati Wa Sloti Kutoa Mamilionea Ndani Ya Meridianbet

Kwa muda mrefu sloti zimekuwa zikionekana kama burudani ya haraka, unacheza, unasubiri matokeo. Lakini Meridianbet sasa inaandika upya simulizi hilo kwa kumleta Kalamba Games, wabunifu wanaoamini kuwa sloti si mchezo tu, bali ni uzoefu unaomshirikisha mchezaji moja kwa moja. Kalamba Games wamejikita kwenye kumweka mchezaji katikati ya kila kitu. Kuanzia muonekano, sauti, hadi mpangilio wa…

Read More

Yanga SC vs JS Kabylie, Jumapili ya kazi

Yanga SC vs JS Kabylie, Jumapili ya kazi kwa wawakilishi wa Tanzania kutupa karata ya mwisho katika anga la kimataifa. Mchezo huo ni muhimu kwa Yanga SC kupambania malengo yakutinga hatua ya robo fainali wakiwa nafasi ya tatu na pointi 5 huku wanaowania nafasi hiyo wengine ni AS Far Rabat hawa wapo nafasi ya pili…

Read More

KMC FC vs Simba SC leo Kibu kuagwa

KMC vs Simba SC ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex saa 1:00 usiku. Katika mchezo wa leo kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Dennis anatarajiwa kuangwa rasmi mara baada ya kuuzwa. Kibu msimu wa 2025/26 atakuwa nchini Libya kwa changamoto mpya mara baada ya kufikia makubaliano na pande…

Read More

Jumatano Ya Meridianbet Kujazwa Ladha ya Ushindi Na Zawadi Kibao

Nani alisema katikati ya wiki hakuna burudani? Meridianbet wameamua kuivunja dhana hiyo kwa kuja na kampeni ya kusisimua ya Jumatano ya Zawadi, inayogeuza kila Jumatano kuwa siku ya matumaini na bahati. Kuanzia Jumatano hadi Jumanne, kila mchezaji anayekata tiketi yenye mechi tatu au zaidi anajikuta tayari yupo kwenye mbio za kushinda zawadi. Kinachoifanya Jumatano iwe…

Read More

Dkt. Mwigulu Aongoza Kikao Cha Kamati Ya Kitaifa Ya Afcon 2027

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika mwaka 2027 katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya kikao hicho leo Jumanne (Februari 10, 2026) Ofisi…

Read More

Singida Black Stars Wasukumizwa Nje ya CAFCC Baada ya Kifungwa 1-0 na CR Belouizdad

Wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) wamesukumizwa nje ya michuano hiyo kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Sead Ramovic na vijana wake wa CR Belouizdad katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar kwenye mchezo wa kundi C wa CAFCC. 𝐅𝐓: 𝐒𝐢𝐧𝐠𝐢𝐝𝐚 𝐁𝐥𝐚𝐜𝐤 𝐒𝐭𝐚𝐫𝐬 🇹🇿 𝟎-𝟏 🇩🇿 𝐂𝐑 𝐁𝐞𝐥𝐨𝐮𝐢𝐳𝐝𝐚𝐝 ⚽ 03’ Belhocini 𝑀𝑆𝐼𝑀𝐴𝑀𝑂…

Read More