Yanga SC 3-1 Dodoma Jiji FC

Yanga SC 3-1 Dodoma Jiji FC ni ushindi kwa mabingwa watetezi kwenye mchezo wa NBC Premier League Januari 27,2026. Kwenye mchezo wa leo Dodoma Jiji walianza kupata goli la kuongoza kipindi cha kwanza dakika ya 42 kupitia kwa William Edger ambalo lilidumu kwa muda wa dakika 3. Magoli ya Klabu ya Yanga yamefungwa na Depu…

Read More

Azam FC vs TRA United NBC Premier League

Azam FC vs TRA United NBC Premier League ni kituo kinachofuata kwa matajiri wa Dar mchezo ujao wakiwa nyumbani. Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Florent Ibenge itamenyana na wakusanya mapato saa 3:00 usiku Uwanja wa Azam Complex. Hiyo ni baada ya matajiri hao wa Dar kutoka ugenini kucheza mchezo wa hatua ya makundi dhidi…

Read More